RUTO MATATANI? Gavana Ngilu amtaka Naibu Rais kujiuzulu, Echesa amefunguliwa mashtaka

KTN News Feb 16,2020


View More on KTN Leo

Naibu Rais William Ruto Kwa Mara Nyingine Tena Amejitetea Kuhusiana Nasakata Ya Ununuzi Wa Vifaa Vya Kijeshi Vya Thamani Ya Shilingi Bilioni 39 Ambayo Aliyekuwa Waziri Wa Michezo Rashid Echesa Amefunguliwa Mashtaka Ya Kuwalaghai Wamiliki Wa Kampuni Moja Ya Mauzo Ya Silaha Kutoka Nchini Polanda. Na Kama Anavyoarifu Mwanahabari Wetu Lofty Matambo, Shinikizo Linaendelea Kutolewa Kwa Ruto Ajiuzulu.