×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwamamume awashambulia wanawe kwa panga na kisha kujiua

10th February, 2020

Mwanamume wa miaka 46 amewashambulia kwa panga na kuwaua binti zake wawili kabla ya kujiua katika kijiji cha Mbitini katika kaunti ya kitui. Tukio hilo lilitokana na mzozo wa nyumbani. Kulingana na mkewe marehamu Jediadah kimwele mumewe kimwele kaloe alikuja nyumbani akiwa mlevi na kisha kuanza kuwashambulia.

.
RELATED VIDEOS