×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule ya msingi ya Kakamega yafunguliwa baada ya kufungwa kutokana na mkanyagano uliotokea

10th February, 2020

Shule ya msingi ya kakamega imefunguliwa rasmi leo baada ya kufungwa kwa muda huku maombi ya utakaso yakifanyika. Irene Kwatukha afisa wa polisi mjini kakamega leo ammezika bintie Prudence Eliza alyefariki katika mkanyagano uliotokea shuleni humo. Bi Irene aliyekuwa na watoto wawili katika ghorofa hiyo, alibahatika baada ya mwanawe wa kiume kuponea katika ajali hiyo. Mumewe alifariki miezi kadhaa iliyopita baada ya kuanguka kutoka kwenye ghorofa

.
RELATED VIDEOS