.
10th February, 2020
Baadhi ya wakenya wanaoomboleza zaidi mauko ya Mzee Moi ni wanachama wa chama cha KANU. Mwanahabari wetu Lofty Matamo alikutana na mwanachama wa kudumu Bwana Charles Muhoro aliyefika katika majengo ya bunge kuutazama mwili wa Moi na alipomfuata hadi nyumbani kwake alipata utajiri wa kihistoria ya chama cha KANU.