Wafanyikazi waliofanya kazi chini ya Mbawa za Rais Mstaafu Daniel Moi wanaendelea kumshadidia sifa

KTN News Feb 09,2020


View More on KTN Leo

Wafanyikazi Waliofanya Kazi Chini Ya Mbawa Za Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi Wanaendelea Kumshadidia Sifa Hayati Mzee Moi Kutokana Na Jitihada Zake Pevu Ya Kuziongoa  Jamii.Wakizungumza Katika Kaunti Ya Transnzoia Wamesema Kwamba Kenya Imemptoea Kiongozi Aliyepatanisha Jamii Zote Bila Kuzibagua Kwa Misingi Ya Kabila, Dini Wala Rangi. Halikadahalika Wanafunzi Wa Zamani Ya Shule Ya Upili Ya Moi Kabarak Wanamkumbuka Mzee Kwa Mema Aliyowatendea.