.
2nd February, 2020
Bima Ya Kitaifa Ya Matibabu NHIF Imekuwa Muhimu Sana Kwa Kila Mmoja Katika Jamii Na Ndiposa Serikali Humtoza Kila Mwananchi Ada Fulani Ya Mapato Yake.Cha Kusikitisha Ni Kwamba Pindi Mtu Anapostaafu Mpango Huo Huacha Kumsaidia Japo Huwa Tayari Ameanza Kuzeeka Na Pengine Kuhitaji Matibabu Hayo Zaidi. Swali Sasa Ni Je Kunazo Sera Mwafaka Kuangazia Kikamilfu Masuala Yanayoibuka Miongoni Mwa Wakongwe Nchini. Mgao Wa Shilingi Elfu Mbili Uliotengewa Wakongwe Kuanzia Umri Wa Miaka Sabini Una Uwazi?