.
2nd February, 2020
Kwa Kinachoonekana Kama Kumjibu Rais Uhuru Kenyatta, Naibu Rais William Ruto Amejitokeza Akisema Ataendelea Kutekeleza Wajibu Wake Kama Naibu Rais Baada Ya Rais Uhuru Kenyatta Kusema Kuwa Baadhi Ya Miradi Yaliyozinduliwa Kwa Jina Lake Yamekwama Au Hata Hayapo. Ruto Ambaye Alikuwa Katika Kaunti Ya Kisii Aidha Amesema Mchakato Wa Upatinishi Yaani Bbi Umetekwa Nyara Na Wanasiasa Kwa Minajili Ya Kujunifaisha Wenyewe