×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Garisa wafanya maandamano ya amani kupinga mashambulizi ya Alshabaab

27th January, 2020

         Wakazi wa mji wa Garissa wamefanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuimarisha usalama katika eneo hilo ili kuzuia mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kundi la wanamgambo wa alshabaab kutoka Somalia. Wakizungumza baada ya maandamano hayo, wanaharakati kutoka kaunti ya Garissa wakiongozwa na Mwalimu Salah Yusuf wamelaani shambulizi la hivi maajuzi lililowalenga wanafunzi pamoja na walimu.

.
RELATED VIDEOS