27th January, 2020
Watu wanne akiwemo mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana wamefariki Katika kaunti ya Elgeyo Marakwet kutokana na mkurupuko wa malaria Serikali ya kaunti hiyo imewarejesha kazi wafanyakazi waliokuwa likizoni kurejea ili kukabiliana na jinamizi hilo.