×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Balozi wa Marekani waitaka wanasiasa kutoingiza siasa katika ripoti ya BBI

27th January, 2020

Balozi wa marekani ameshauri kwamba ingekuwa fahari ya serikali ya marekani ikiwa wanasiasa hawataanza kuingiza siasa kwenye mikutano ya ripoti ya upatanisho, BBI. Balozi kyle mccarter ameyasema hayo alipokuwa huko bungoma kwa ziara rasmi, ambapo amewataka wakenya kuiichukulia kwa uzito ripoti hiyo na kuijadili kwa misingi ya maudhui yaliyonuiwa kamati hiyo ilipoundwa Katika ziara ya kujifahamisha na miradi ya eneo hilo,alipokelewa na mwenyeji wake, gavana wa Bungoma, Wycliffe Wangamati.

.
RELATED VIDEOS