Elimu kwa wote : Waziri Magoha azuru Kibra

KTN News Jan 27,2020


View More on KTN Leo

Waziri wa elimu prof. George magoha amewataka washika dau mbali mbali kushirikiana katika kufanikisha mpito wa asilimia mia moja ya wanafunzi kujiunga na shule za sekondari huku akisema kuwa juhudi ya kila mmoja ni muhimu katika kuafikia azimio hilo