×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wamkamata Mildred Owiso baada ya kuzua kihoja na kukataa kutiwa mbaroni

25th January, 2020

Polisi walimkamata mama mmoja aliyeonekana kwenye kanda ya video akizua kihoja baada ya afisa wa trafiki kutaka kumtia mbaroni. Mama huyo katika kanda hiyo ya video alikuwa akilalamika kwa ukali kuhusu hatua ya afisa huyo kupanda gari lake wakati wa kukamatwa kwake. Lakini je, sheria inasemaje iwapo afisa wa trafiki amekushika kwa kosa lolote barabarni

.
RELATED VIDEOS