×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waamini wataka serikali kuingilia kati kutatua mzozo katika msikiti wa Pumwani

25th January, 2020

Mzozo wa uongozi kwenye msikiti mmoja mtaani Majengo hapa Nairobi, unatishia utoaji wa huduma, huku waumini wakitaka serikali iingilie kati. Hata hivyo waumini na viongozi katika msikiti wa Pumwani riyadh, wamedai kamati ya muda iliyoteuliwa na serikali ili kusimamia shughuli msikitini humo kwa muda, ndiyo ya kulaumiwa.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS