×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkutano wa BBI wafanywa Mombasa huku wapwani wakipendekeza tatizo la ardhi lizangatiwe kwa makini

25th January, 2020

Tunaanzia Mombasa katika bustani ya mama Ngina ambapo mkutano wa BBI ulifanyika na viongozi wa pwani kutoa maazimio yao kuhusu wanayotarajia katika mchakato wa BBI. Suala la ardhi lilipewa uzito mkubwa huku ardhi isiyojulikana wamiliki wake ikitakiwa kutwaliwa na serikali. Kiongozi wa ODM Raila Odinga na wenzake Kalonzo Musyoka wa wiper na Moses Wetangula walihudhuria hafla hiyo sawa na wabunge wanaoegemea mrengo wa naibu rais William Ruto wakiongozwa na seneta Kipchumba Murkomen

.
RELATED VIDEOS