×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msichana afariki baada ya kudungwa kisu marakadhaa na mpenziwe Nyandarua

22nd January, 2020

Wakazi wa eneo la Weru, Kinangop kaunti ya Nyandarua wamepatwa na mshangao kufuatia kisa cha mwanamume mmoja mwenye umri wa umri 25 kudaiwa kumuua msichana  mwenye  umri wa miaka 22 kwa kumdunga kisu mara kadhaa katika kile kinachoonekana kuwa ni mzozo wa kimapenzi.Inadaiwa  kabla ya mwanamme huyo kufanya kitendo hicho  wawili hao walikuwa na mgogoro  na kisha kutengana. Mwanamke aliyefariki alitambuliwa kwa jina la Consolata Wambui ambaye ni mwalimu katika shule ya upili ya St. Michael nae mshukiwa kwa jina Allan Musila alikuwa akifanya kazi ya ulinzi eneo la magharibi. Mshukiwa anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Engineer.

.
RELATED VIDEOS