×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Abiria watatu wajeruhiwa vibaya baada ya basi lao kugongana ana kwa ana na lori Thika

22nd January, 2020

Abiria watatu wamejeruhiwa vibaya huku kumi na wanane wakipata majeraha madogomadogo baada ya basi walimokuwa wakisafiria kungongana ana kwa ana na lori yapata mita mia mbili kutoka kituo cha polisi cha juja kwenye barabara kuu ya Thika kaunti ya kiambu. Taarifa zinasema kuwa basi hilo la kampuni ya Neo kenya lenye uwezo wa kubeba abiria 52 lilikuwa likielekea mjini Thika kutoka nairobi alasiri ya leo wakati ajali hiyo ilipotokea na kusababisha msongamano mkubwa wa magari.

 

 

.
RELATED VIDEOS