×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baadhi ya viongozi wakaribisha mrengo wa Ruto kuhudhuria mkutano wa BBI Mombasa

22nd January, 2020

Mrengo unaounga mkono rais Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kwenye mchakato wa marekebisho kupitia jopo la upatanishi BBI umekaribisha hatua ya wandani wa naibu rais William Ruto kwamba watahudhuria mikutano ya BBI licha ya kuwa awali walikuwa wamesema watasusia mikutano hiyo. Viongozi hao hata hivyo wametilia shaka nia ya viongozi hao wakisema kuwa huenda wana nia fiche. Geff kirui na maelezo zaidi

 

 

.
RELATED VIDEOS