Gavana wa West Pokot Lonyangapuo amewaonya madaktari wazembe kaunti hiyo

KTN News Jan 20,2020


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Gavana wa West Pokot John Lonyangapuo amewaonya wahudumu wa afya wanaoonyesha uzembe kazini kwamba watapigwa kalamu. Lonyangapuo amesema hayo alipofika ghafla katika zahanati ya losam na kumpiga kalamu muuguzi mmoja aliyekosa kufika kazini bila sababu maalum.  Alipowasili katika zahanati hiyo, ilikuwa saa moja asubuhi na kuipata milango imefungwa na muuguzi hayupo.