×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Oparanya ahifadhi wadhfa wa mwenye kiti wa magavana

20th January, 2020

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 18.0px; font: 10.0px Arial; min-height: 11.0px} p.p2 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.s1 {font: 10.0px Arial} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

 

    Gavana wa kaunti ya Kakamega atasalia mwenyeti wa baraza la magavana baada ya kuchaguliwa bila pingamizi. Baraza la magavana liliandaa uchaguzi hii leo ambapo waliokuwa wakihudumu wamesalia kwenye nafasi zao ijapokuwa gavana wa nyeri mutahi kahiga ambaye sasa atakuwa mwenyekiti wa kamati kuhusu elimu iliyokuwa ikishikiliwa na  aliyekuwa gavana wa Bomet marehemu Joyce Laboso. Wakati  huo magavana waliozungumza wamepigia upatu  mchakato wa BBI kwamba itaboresha ugatuzi

.
RELATED VIDEOS