Njenga Mungai amemsuta Naibu Rais William Ruto akidai hafau kumrithi Rais Uhuru Kenyatta

KTN News Jan 20,2020


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 10.0px Arial} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Aliyekuwa mbunge wa Molo Njenga Mungai amemsuta vikali naibu wa Rais William na kusema kamwe hastahili kumrithi rais Uhuru Kenyatta kama kiongozi wa taifa. Mungai anadai wandani wa Ruto wanafufua kumbukumbu za vuguvugu la yk92 na kuwa ndio wanaoyumbisha uchumi wa taifa. Mbunge wa bahati kimani Ngunjiri hata hivyo amepuuzilia mbali matamshi hayo akisema kamwe madai yao hayatawazuia kusonga mbele na azma ya urais.