Kamati maalum ya kuangalia matumizi ya kiswahili bungeni yateuliwa
20th January, 2020
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 10.0px Arial}
span.s1 {font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'}
span.Apple-tab-span {white-space:pre}
</style>
Kamati maalum iliyo chini ya kamisheni ya kiswahili Afrika Mashariki inafanya mkutano wa siku mbili hapa Nairobi kujadiliana matumizi ya kiswahili Bungeni. Ni kikao kitakachosuluhisha swali la iwapo wabunge wanaelewana na wananchi wakati wa maamuzi muhimu. Kikao hicho kinaongozwa na katibu mtendaji wa kamisheni ya kiswahili kennedy simala.