UKAGUZI BAGUZI: Biashara ya Vidhibiti mwendo na NTSA | Hadubini

KTN News Jan 19,2020


View More on KTN Leo

Kwa Takriban Miezi Mitatu Hadubini Ilizamia Biashara Ya Vidhibiti Mwendo Na Vituo Vya Ukaguzi Vya Mamlaka Ya Kitaifa Ya Usalama Barabarani Ntsa Kufuatia Malalamishi Kuhusu Ufisadi Kutoka Wananchi Na Kutuandalia Makala Maalum Ukaguzi Baguzi.