.
19th January, 2020
Wakaazi Wa Eneo La Mirile Kaunti Ya Marsabit Wanafurahia Mtindo Mpya Wa Kupima Mizani Ya Mifugo Katika Mauzo Ilikuhakikisha Wanapata Faida Za Kutosha. Mtindo Huo Unaojulikana Kama "Livestock To Market" Licha Ya Kuwafaidisha Wakaazi Unalenga Kusaidia Kuendeleza Hifadhi Ya Mazingira Nchini.