19th January, 2020
Gavana Wa Kaunti Ya Machakos Daktari Alfred Mutua, Amewatahadharisha Wakenya Dhidi Ya Viongozi Wasiotekeleza Ahadi, Kwamba Wawapuuze Na Kuwa Makini Na Viongozi Wenye Malengo Na Ajenda Za Maendeleo Ya Taifa. Amewataka Wakenya Kuwatambua Viongozi Wanaotaka Kuimarisha Uchumi Na Maendeleo Waakati 2022 Inakaribia.