MAUAJI LIKONI: Mwanamke auawa na Mumewe, polisi wanachunguza kisa hicho

KTN News Jan 19,2020


View More on KTN Leo

Katika Kisa Kingine Cha Tanzia Bwana Mmoja Huko Mbuyuni Likoni Katika Kaunti Ya Mombasa Alimua Mkewe Huku Kukiwa Na Ongezeko La Matukio Ya Mauaji Nchini Kulingana Na Wakazi Wa Eneo Hilo Baada Ya Tukio Hilo Mshukiwa Alitoweka. Marehemu Ruth Kaveke Anadaiwa Kuuawa Na Mumewe Kwa Kutumia Panga Alipokuwa Usingizini