19th January, 2020
Watu Watano Wanazuiliwa Na Mafisa Wa Kitengo Cha Kupambana Na Ugaidi Yaani Atpu, Huku Polisi Wakisema Wanawahoji Watano Hao Kubaini Iwapo Wana Uhusiano Wowote Na Kundi La Kigaidi. Kupitia Mkurugenzi Mkuu Wa Kitengo Hicho John Gachomo, Ni Kuwa Uchunguzi Wa Polisi Unaendelea Kwa Washukiwa Hao Waliokamatwa Mtaani Pangani Nairobi Kabla Kuwafikisha Mahakamani.