×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wakatiza mkutano mbadala wa Mumias huku viongozi wakifurushwa kwa vitoa machozi

18th January, 2020

Baadhi ya viongozi kutoka maeneo ya magahribi ambao walikuwa wamepanga kuandaa mkutano mjini Mumias leo walilazimika kukatiza mkutano huo baada ya polisi kushika doria katika uwanja huo wa bomani. Hata hivyo wale viongozi waliojaribu kuzungumza na wananchi kando kando ya barabara maeneo ya Mumias walifukuzwa kwa vitoa machozi. Na sasa, viongozi hao wameapa kuandaa mkutano wao wiki ijayo, huku wakidai kuwa mbunge wa Mumias mashariki Benjamin Washiali ametekwa nyara na mahasidi wake wa kisiasa.

 

 

.
RELATED VIDEOS