×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkutano wa BBI wafanyika Bukhungu huku viongozi wakipendekeza kura ya uamuzi ufanywe Julai

18th January, 2020

Mkutano uliokuwa umesubiriwa wa BBI mjini Kakamega ulifanyika na kuhudhuriwa na kiongozi wa ODM Raila Odinga na viongozi wa magharibi  Musalia Mudavadi, Moses Wetangula pamoja  na katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli. Mbali na kupigia debe stakabadhi hiyo ya bbi baadhi walipendekeza kura ya maamuzi ifanywe haraka iwezekanavyo. Hata hivyo kulikuwa na maoni yalionekana kuwa kinzani kutoka kwa jinsi ya kusukuma ajenda ya BBI kutoka kwa kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi.

 

.
RELATED VIDEOS