.
13th January, 2020
  Katibu mkuu wa chama cha walimu KNUT aliye pia mbunge wa kuteuliwa chamani ODM Wilson Sossiona amelaani mauaji ya walimu watatu huko garissa mapema leo, na kuitaka tume ya huduma za walimu, TSC kuchukulia kwa uzito matukio katika eneo la kaskazini ya nchi palipozorota usalama wa walimu wasiokuwa wenyeji maeneo hayo.