Ombi la Wakili wa Moses Kuria la kuhairishwa kusomewa mashtaka limekataliwa

KTN News Jan 13,2020


View More on KTN Leo

        Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria atafikishwa tena mahakamani kusomewa mashtaka hapo kesho, baada ya hakimu mkuu Martha Mutuku kufutilia mbali ombi la mawakili wake kutaka kikao cha kusomewa kihairishwe hadi suala la ukiukaji wa amri za mahakama liangaziwe. Wakili wa Kuria John khaminwa alilalalimikia alichokidai kuwa udhalilishaji wa mahakamani kutoka wakuu serikalini mahakama