Waziri wa Elimu Prof Magoha amewataka walimu wakuu kutowanyima wanafunzi nafasi ya kujiunga na shule

KTN News Jan 13,2020


View More on KTN Leo

 

        Waziri wa elimu Profesa George Magoha kwa mara nyingine tena amewaonya walimu wakuu wa shule za sekondari dhidi ya kutowapa wanafunzi wasio na karo nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza akisisitiza kuwa serikali inanuia kuhakikisha aslimia 100 ya usajili wa wanafunzi. Haya yanajiri huku wanafunzi wa kidato cha kwanza kutoka sehemu mbalimbali za nchi wakijiunga na shule za Sekondari.