Mudavadi na Wetangula waapa kutohudhiria kikao cha BBI itakayoandaliwa Kakamega

KTN News Jan 11,2020


View More on KTN Leo

Joto la kisiasa eneo la magharibi linaendelea kupanda huku Musalia Mudavadi na Moses Wetangula wakiapa kuwa hawatohudhuria mkutano wa viongozi wa magharibi wa hapo kesho kupanga maandalizi ya mkutano wa BBI utakofanyika Kakamega tarehe 18. Wakati huo huo viongozi kutoka kaunti ya Kericho wameapa kutokubali kampeni yoyote ya BBI kuwahi kufanyika katika kaunti hiyo.