.
11th January, 2020
Wabunge wanaomunga mkono mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria wanaisuta serikali na kikosi cha polisi kwa kutotii maamuzi ya mahakama ya kumwachilia Kuria kwa dhamana. wabunge hao wanadai serikali ina mazoea ya kutotii uamuzi wa mahakama patokeapo kisa kama hii,aidha mbunge huyo atazidi kuzuiliwa na polisi hadi jumatatu ambapo atafikishwa mahakamani