MASAIBU YA MIGUNA: Kuwasili kwa Miguna Miguna kunazidi kuibua maswali bila majibu kila kukicha

KTN News Jan 08,2020


View More on KTN Leo

Kizaazaa Kinachofungana Na Urejeo Wa Wakili Miguna Miguna Kinazidi Kuibua Maswali Bila Majibu Kila Kukicha. Serikali Ya Kenya Ikionekana Kucheza Shere Na Karata Kuhusu Suala Zima. Kinyume Na Awali Msemaji Wa Serikali Sasa Anasema Miguna Miguna Hana Stakabadhi Za Usafiri. Mvutanio Unaoweka Kwenye Ratili Uwajibikaji Wa Serikali Kutii Amri Za Mahakama.