×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi mjini Eldoret wamewaua kwa kuwapiga risasi washukiwa wanne wa Ujambazi

8th January, 2020

Polisi Mjini Eldoret Wamewaua Kwa Kuwapiga Risasi Washukiwa Wanne Wa Ujambazi Katika Makabiliano Kwenye Barabara Kuu Ya Eldoret Kuelekea Kitale. Inadiawa Washukiwa Hao Wa Ujambazi Walipanga Kuvamia Biashara Moja Mjini Humo Njama Ambayo Ilitibuka Baada Ya Kufumaniwa Na Polisi.

.
RELATED VIDEOS