×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo waanza kutokota tena NCPB huku wakulima wakidai kuna njama fiche ya kuagiza mazao nje ya nchi

7th January, 2020

Mzozo umeanza kutokota tena kuhusiana na kutofunguliwa kwa halamshauri ya nafaka na mazao (NCPB) katika kaunti ya Uasin Gishu huku wakulima wakidai sasa pana njama fiche ya kuagiza mahindi kutoka mataifa ya nje. Kwa kawaida milango ya NCPB hufunguliwa mwezi wa Oktoba na kufungwa Februari ili kipindi hiki  wadau wanaohusika wamepiga kimya

.
RELATED VIDEOS