×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mafuriko Tana River yaacha watu zaidi ya 10,000 bila makao huku wakaazi wakilazimika kutumia mashua

7th January, 2020

Mafuriko ambayo yamekuwa yakishuhudiwa katika sehemu mbali mbali za nchi sasa yameacha zaidi ya watu elfu kumi na tano waliokuwa wakiishi katika kambi mbali mbali bila makao. Maeneo yaliyoathrika pakubwa ni katika tanadelta ambako zaidi ya vijiji kumi vimefurika na kusababisha hasara kwenye mimea na nyumba.

 

 

.
RELATED VIDEOS