7th January, 2020
Masomo ya maelfu ya wanafunzi itaendelea kutatizwa kutokana na agizo ya wizara ya elimu kufunga shuke zote ambazo hazijafikia kiwango. Agizo hilo ambalo lilitolewa mwaka jana ita kufungwa kwa shule za kibinasi na hata za umma ambazo hazifikii viwango.