Seneta Gideon Moi na Kalonzo Musyoka wadaiwa kuzumgumzia swala la Urais 2022

KTN News Jan 04,2020


View More on KTN Leo

Seneta Wa Kitui Enock Wambua Amedokeza Kuwa Seneta Wa Baringo Gideon Moi Na Kiongozi Wa Wiper Kalonzo Musyoka Wako Kwenye Mazungumzo Kuhusiana Na Kinyang'anyiro Cha Urais Wa Mwaka Wa 2022. Alikuwa Akizungumza Katika Eneo La Ngata Huko Nakuru Kwenye Mazishi Ya Mama Cecilia Rotich, Mamake Kenneth Mibei Ambaye Ni  Msaidizi Wa Seneta Gideon Moi. Mbunge Wa Kandara Alice Wahome Hakusazwa Huku Viongozi Wakisema Kuwa Anafaa Kumheshimu Rais.