×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa Elimu George Magoha awaonya wakuu wa shule kuhusu ada

3rd January, 2020

Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Amewaonya Walimu Wakuu Watakaowatimua Wanafunzi Shuleni Kuhusiana Na Malipo Ya Karo Na Ada Zingine Shule Zitakapofunguliwa Juma Lijalo. Magoha Amesisitiza Kuwa Elimu Ni Haki Msingi Ya Kila Mwanafunzi. Alizungumza Kwenye Uzinduzi Wa Ufadhili Wa Elimu Wa Equity Wings To Fly Wa Mwaka Huu Unaowapa Wanafunzi Wanaobobea Darasani Kutoka Jamii Zisizo Na Uwezo Wa Kifedha.

.
RELATED VIDEOS