.
2nd January, 2020
Klabu ya voliboli ya KCB mwaka jana ilitangaza kwamba mwaka huu itakuwa ya kwanza nchini kuboresha viwango vya maslahi ya wachezaji wao. Hii leo Jeff Mogire anatathmini iwapo klabu zingine nchini zitafuata mkondo huo kwa kuboresha kandarasi za wachezaji wao.