×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Katani, wamlaumu Gavana Alfred Mutua kwa hali mbaya ya barabara

2nd January, 2020

Wakazi wa eneo la Katani kaunti ya Machakos wameanza mwaka mpya kwa maandamano kuhusu barabara mbovu. Wanasema kwamba ubovu wa barabara hiyo umechangia utovu wa usalama na sasa shule zitakapofunguliwa wanafunzi watatatizika kuelekea shuleni.

 

.
RELATED VIDEOS