Sakata ya watoto kutoweka katika mtaa wa Mukuru kwa Ruben
2nd January, 2020
Imekuwa wiki moja sasa baada ya mtoto wa umri wa miaka 7 kutoweka katika kitongoji cha Mukuru kwa Ruben….kisa hiki kikifunua kifuniko cha sakata ya watoto kutoweka katika mtaa huo kwa njia ya kutatanisha.