×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanamgambo washambulia mabasi mawili Lamu

2nd January, 2020

Wahudumu wa mabasi ya kampuni ya Simba coach wamesema kuwa basi lao lilokuwa katika msafara wa mabasi pamoja na basi la kampuni ya Mombasa Raha pia limevamiwa katika shambulizi hilo la wanamgambo na kusema kuwa kondakta wa basi hilo aliuawa. Idadi ya abiria wasiojulikana pia wanahofiwa kuuawa. 

 

.
RELATED VIDEOS