Wakenya wajumuika na ulimwengu kuadhimisha mwaka mpya huku watoto 32 wakizaliwa hospitalini Eldoret

KTN News Jan 01,2020


View More on KTN Leo

Leo ni tarehe mosi Januari, mwaka mpya kabisa wa 2020. Wakenya walijumuika na ulimwengu jana saa sita usiku kuukaribisha kwa njia spesheli mwaka huu. Katika hospitali ya rufaa ya Eldoret madaktari walisajili baraka kutoka kwa mwenyezi mungu..