×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Francis Atwoli awahimiza wanasiasa kuvumiliana na kuheshimiana mwaka mpya wa 2020

31st December, 2019

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi, COTU, Francis Atwoli, amewahimiza wanasiasa kuukaribisha mwaka mpya wa 2020 kwa kuvumiliana na kupeana heshima. Atwoli aliyezungumza nyumbani kwake huko Kajiado akiwa na familia yake, amewaonya wanasiasa dhidi ya kuzua maneno ya migawanyiko, akisisitiza kwamba mwaka mpya utakuwa wa ufanisi mkubwa ikiwa wakenya wataendelea kuheshimu yaliyomo kwenye ripoti ya BBI.

.
RELATED VIDEOS