×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wahudumu wa boda boda huko Maragua waunda chama cha ushirika cha kuwasaidia kujenga nyumba

30th December, 2019

Wahudumu themanini na wawili  wa bodaboda eneo la Kabati katika eneo bunge la Maragua kaunti ya Murang'a wameandikisha chama cha ushirika ambapo wananuia kujihusisha na biashara ya ujenzi wa nyumba kwa wanachama. Wahudumu hao hukutana kila Jumanne na kutoa michango ya shilingi mia tano kila mmoja kwenye hazina hiyo. Wanajivunia umoja wao ambao ulianza kwa kununua pikipiki nne na sasa wana malengo makuu. 

.
RELATED VIDEOS