×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Isiolo ni wenye hamaki baada ya kuhadaiwa watakutana na Naibu Rais William Ruto

30th December, 2019

Zaidi ya wakazi 200 wa kaunti ya Isiolo wamejawa na ghadhabu baada ya kuahidiwa kuwa na mkao na naibu wa Rais William Ruto lakini kumbe walihadaiwa. Wakazi hao wanadai kwamba walitoa michango kiasi fulani cha pesa.

.
RELATED VIDEOS