Dhiki ya maradhi : Familia yajitengenezea chumba cha mgonjwa mahututi nyumbani kwao
28th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 18.0px; font: 10.0px Arial}
span.Apple-tab-span {white-space:pre}
</style>
Je, ushawahi kufikiria kuwa na chumba cha wagonjwa mahututi nyumbani. John obiko anayeugua ugonjwa wa kupooza mishipa ya navu alifanyiwa chumba hicho na wazazi wake mtaani lang'ata ili kupunguza gharama ya hospitali na baada kukosa kuongea wala kutembea kwa karibia miezi kumi wanamshukuru mungu kuwa John anauvuka mwaka akizungumza kama zamani.