×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Visa vya utundu barabara vimeripotiwa kuongezeka msimu huu wa Krismasi

27th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 10.0px Arial} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Mkuu wa polisi Hillary Mutyambai majuzi alitoa amri ya kukamatwa na kushtakiwa kwa abiria yeyote atakayekiuka sheria za barabarani. mutyambai aliamuru maafisa wake kuwa macho hasa akilenga abiria ambao watapatikana wakiwa wameruindakana kwa magari ya umma kuliko idadi ya.Uchunguzi wa ktn unabaini kwamba amri hiyo huenda imepuuzwa kwani kuna visa vingi vya utundu ambavyo vimeripotiwa.

.
RELATED VIDEOS